Ni huduma ambayo inasimamiwa au kutolea na kampuni ya AM Studios inayojihisisha na utoaji wa huduma mbali mbali kama vile Video production,Graphic Design na Ushereheshaji kwenye matukio muhimu pamoja na usambazaji wa kadi kidigitali.
Kupata huduma zetu tupigie kupitia No. +255766796796 au utatuma ujumbe kwa njia ya whatsapp.
Tunatengeneza kadi za aina mbali mbali kwa ubunifu wa hali ya juu.
Tunasambaza kadi zako kidigitali kwa waalikwa wako wote ndani ya muda mfupi sana. Tunatuma jumbe kwa njia ya WhatsApp na Bulk SMS
Tunawakumbushia michango wageni wako. Baada ya kutupa listi ya wageni au waalikwa wa sherehe yako tutakuwa tunawakumbushia michango yao kwa kuwatumia jumbe mbalimbali kwa njia ya SMS.
Tunawapigia simu kuwakumbushia michango au mualiko. Tutawapigia simu kuwakumbushia tarehe ya tukio na kuwakaribisha kwenye tukio lenyewe.
kwa kuridhia, wakati wageni wako wanaingia ukumbini tutakuwa tuna scan kadi zao ili kijiridhisha ndipo waingie. Hii ni kwa ajili ya kudhibiti wazamiaji/watu wasio takiwa kwenye sherehe yako.
Wageni wako wakiwa ukumbini watakuwa na uwezo wa kuscan QR code na kupata ratiba nzima ya tukio au sherehe yako