Utoaji na Usambazaji wa Kadi

Ni huduma ambayo inasimamiwa au kutolea na kampuni ya AM Studios inayojihisisha na utoaji wa huduma mbali mbali kama vile Video production,Graphic Design na Ushereheshaji kwenye matukio muhimu pamoja na usambazaji wa kadi kidigitali.

Kupata huduma zetu tupigie kupitia No. +255766796796 au utatuma ujumbe kwa njia ya whatsapp.

illustration

Kwanini Crown Kadi?

Ubora wa Kazi

Ubora na usahihi katika kazi ni kipaumbele chetu.

Kazi kwa wakati

Kuwasilisha kazi ndani ya wakati ndio sifa yetu.

Gharama nafuu

Tunazingatia unafuu wa gharama za huduma kwa wateja wetu.

Ushirikiano

Tunashirikiana na mteja mpaka mwisho wa shughuli yake.

Huduma zetu

Kutengeneza Kadi.

Tunatengeneza kadi za aina mbali mbali kwa ubunifu wa hali ya juu.

Kusambaza kadi

Tunasambaza kadi zako kidigitali kwa waalikwa wako wote ndani ya muda mfupi sana. Tunatuma jumbe kwa njia ya WhatsApp na Bulk SMS

Kukumbushia michango.

Tunawakumbushia michango wageni wako. Baada ya kutupa listi ya wageni au waalikwa wa sherehe yako tutakuwa tunawakumbushia michango yao kwa kuwatumia jumbe mbalimbali kwa njia ya SMS.

Tunawapigia simu

Tunawapigia simu kuwakumbushia michango au mualiko. Tutawapigia simu kuwakumbushia tarehe ya tukio na kuwakaribisha kwenye tukio lenyewe.

Tuna Scan Kadi

kwa kuridhia, wakati wageni wako wanaingia ukumbini tutakuwa tuna scan kadi zao ili kijiridhisha ndipo waingie. Hii ni kwa ajili ya kudhibiti wazamiaji/watu wasio takiwa kwenye sherehe yako.

Digitali ukumbini

Wageni wako wakiwa ukumbini watakuwa na uwezo wa kuscan QR code na kupata ratiba nzima ya tukio au sherehe yako


Baadhi ya Kadi zetu

Sample Card Image
Sample Card Image
Sample Card Image
Sample Card Image
Sample Card Image
Sample Card Image
Sample Card Image
Sample Card Image